Dah nimekumbuka mbali kidogo aisee sijui miaka ya ngapi ile !! Kulikuwa na maflana yenye picha za wanamuziki wa kikongo kama BONGOMANI,BOZIBOZIANA,AWILO ,nilikuwa na la Bongomani aisee nilikuwa...
Habari zenu waungwana wote wa Chitchat....
Nipo huku Idodomya tukiibomoa katiba ya zamani na kujenga katiba mpya kwa ajili ya Wadanganyika...
Mwenzenu kilichonileta huku ni posho maana sina hata...
jamaa mmoja alipanda daladala akawa anatembea tembea ndan ya daladala konda akamuuliza mbona hukai kwenye kiti unatembeatembea yule jamaa akajibu sina nauli ndo maana natembea tembeaaa
Toka mwanzo wa ulimwengu,waliumbwa wawili,mke na mme Bantu lady na Sungura 1980!
Hivyo kilichounganishwa,,mwanadamu hasikitenganishe!Nafurahi kuwa na wewe malkia wangu Bantu lady,asante kwa...
Nawapa pongezi yanga na mashabiki wake wooote!!!,Ni nani kama yanga? kila siku yawa furahisha mashabiki wake.Wengine poleeeni!!,Every body say HURRAAAH!!! LONG LIFE TO YANGA!!
The words mentioned above si maneno yangu . Yanatokana na nukuu nilizozidaka somewhere .
Kwamba anaeota ndoto ya kujamiiana ni female , but wakati anaota hujiota yeye as a male .
As soon...
Habar wana JF, sikieni hii
Jamaa mmoja alikuwa na demu wake mpya ila siku hiyo alikuwa amemuacha nyumbani. Walipowasiliana kwa simu, mazungumzo yao yalikuwa hivi;
Binti: Hello mpenzi, mambo...
Dada mmoja aliibiwa mkoba wake ambao ndani yake kulikuwa na simu, kadi ya benki, wallet yenye hela pamoja na info zake kibao.
Dada yule kwa kuwa aliibiwa akiwa anaangia kwenye daladala na...
Jamani mie ni Blogger mwenye umri mdogo tu niko chuo kwa sasa nina miaka 19 na blog yangu inaitwa BLOG YA VIJANA kwa sasa ninaendelea vizuri japo sio sana...nashkurur kwa hilo na nimeandika hili...
Wadau,kwa wale ambao ni watumiaji wa vinywaji jamii ya bia,hivi ni kweli aina hiyo ya bia inapunguza nguvu za kiume?maana nimekuwa nikisikia sana,wababa watumiao hii hawawezi kazi na kila nikaapo...
Haya mambo bhana yanakua ya ajabu sana unakuta umepakia hice umekaa kwenye gar labda unachat unakuta mtu anatumbua mimacho kwenye simu yako anasoma sms kama si umbea ni nini
Jamani Utotoni kuna vituko..mpaka unakua ni mambo mengi na vituko vingi tumepitia,mojawapo ni majina tuliyokuwa tunatungiana kwa jinsi mtu alivyo au kwa kituko alicho fanya na majina mengine hadi...
Ndani ya meli,watu makabila tofauti walikua na mizigo,meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe,Mzungu akatupa computer, akasema"kwe2 zpo tele,Mchina akatupa box la cmu akasema"kwetu zipo tele"...
Mwangaruka bosa!!!
Leo tuzungumze kidogo kitu au kiungo kidogo sana kwenye miili yetu
kwani hichi kiungo kimekuwa ni figa muhimu kwa mwanadamu
na tena kimekuwa cha haraka kuweza kutambua kuwa...
Kuna wizi umetokea benki,
Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu".
Wote wakalala chini-HII INAITWA DHANA YA USHAWISHI
-
kubadilisha njia ya kawaida ya kufikiria...