Guys!!
Jamani I have fallen in love with one of the ladies in JF.
Siwezi kupata usingizi kama sijasikia sauti yake.
I have never met her personally but guys this lady is killing me!!!!
hivi...
Wawakilishi wa wananchi katika bunge la katiba mpya sidhani kama wanatambua kile kilichowapeleka pale.au wanataka siku ziendelee kuongezwa ili wapige dili zaidi?
Malaika kashuka toka mbinguni katika kila nchi inabidi atoe watu milioni 4. Ambao watasamehewa dhambi zao zote halafu pia nilazima wafe ili kupata hiyo nafasi je utakubali kama ukiwa mmoja wao ?
Hili neno bazazi nilikuwa nnaliona sana humu ndani, bahati mbaya nilikuwa sijui maana yake, ila leo nimejua maana halisi ya neno BAZAZI.
BAZAZI=penda penda.
Sijui kama kuna maana nyingine zaidi...
Lwiva Amos Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa.
"Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni
lini?" Wengine wakasema, leo asubuhi, wengine
muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia, "Kila...
x-amenipa hela ya kununua moka
y- nauli ya kwenda bush
z- ticketi ya kwenda bush ila tuondoke wote tar 24 maana tuko village moja
w-lift ya kwenda bush,ila sitaki nani akwame barabarani na mavua...
Jamaa katika mihangaiko yake mitaani alipata Kiu ya hatari... akapita nyumba moja kuomba maji akamkuta Dogo mmoja akamuomba Maji ya kunywa, Dogo akamletea Maziwa!! Jamaa akanywa.
Jamaa: Niongeze...
Dear white men,
U asked us to wear coats under hot sun, we did;
U said we should speak your language, we have obediently ignored ours.
U asked us to always tie a rope around our necks like...
Nimependa na nimevutiwa na jukwaa hili....
naomba mnikaribishe kama mwanajumuiya mwenzenu...
Mi ni mwanasiasa but inahitaji muda wa kutuliza akili pia....
Nawapenda wote naomba mnikubali...
Come on my king
please i beg pardon darling Excel i love you beyond description without you i can not move forward
restore the heart back my sweetheart you mean everything to me
i...
Wakuu habari za mchana...kwa wale wanaoishi dar es salaam na kuhali hiki cha hewa basiri raha mustare na kama mko pea pea basi ndo burudani.nisilete story nyingi niingie kwenye mada niliotaka...
kuangalia mpira na wanawake ni stresi tupu kwa maswali yao.
Mwanamke: Baby Yule Ni Chris Brown?
Jamaa: Hapana Anaitwa Theo Walcott
Mwanamke: Hee... Ile Ni Kadi Ya Njano Ni Ya Nini?
Jamaa: Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.