Babu wa mafiksi

Babu wa mafiksi

said rashid

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
203
Reaction score
113
Mjukuu: Babu, ushawahi kupanda ndege?
Babu: Ndio, mara nyingi tu
Mjukuu: Hivi ndege kwa ndani ipoje?
Babu: Aaah, mi nilikuwa kazi yangu kupandisha mizigo juu ya carrier. Zamani carrier zilikuwa juu kwa nje, kama mabasi ya zamani tu. Walivyoziamishia ndani umri wangu wa kustaafu ukawa umeshafika
 
  • Thanks
Reactions: kns
Back
Top Bottom