Jamani hooodiiiiii KOKUTONA anabisha hoodiii mjini
Mita chache kuingia terminal
Usihofu mamiee naamini hatakosekana wa kunipokea
Mita chache kuingia terminal
Chapchap sana sogea pande ya Tegeta. Nadhani unakumbuka sikumaliza kukukagua. Malazi, Manywaji na Malaji vyote ntagharamia mie babu yako mpendwa.
Kuanzia sasa naziratibu PM zako, mabazazi yasije yakaniharibia moves zangu.
Mapenzi yalikoanzia...umenisoomaa
kutokea hapo terminal chukua tax mwambie akushushe kinondoni studio,utanikuta hapo nakusubiri cc Evelyn SaltSlave mimi nina kamba mguuni nielekeze vizuri basi.
Uwiiiii. Yaani sitakubali kuondoka mujini bila kukuchuuuum babu yangu wa ukweli. Nipe ratiba mzee
Ratiba itategemea na wewe utakaa mjini mpaka lini. Wengine sie walinzi tunafanya kazi mpaka usiku.