kwani valentina na valentine ndo nini?
Valentine.......owkey.......ije tu......
Utaisherehekea?
Grab yours humu
No......you?
Naah..not my thing.
Mimi pia.....
Siku hiyo network
zinakata sana, mikutano itakuwa mirefu sana, foleni zitakuwa kubwa sana,
wa kuumwa watazuga wanaumwa, simu Itakuwa hazina vocha, simu zitazima
sana kisa eti charge. Heheehehe