Kipi bora?

Kipi bora?

Dj mat

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
747
Reaction score
476
Habari za wakati ndugu wanaJF
Eti ubora wa gari ni engine au body?Naomba utoe sababu kwenye comment yako.
 
ubora wa gari ni redio inayokita sana mtu akisikia mkito anaigeukia gari.
 
ubora wa gari ni body,maana ukiifunga matair inatembea,tofaut na engine
 
Body ikiwa bora na imara..engine hata kama imechoka waweza kuibadili, lakini sio body.
 
mayb i shld ask in otherway round
naona jibu ni ngumu kupatikana;
Ni kitu gani kinakuvutia ww mwanaume kwa mwanamke;bodi +sura au engine?
 
Back
Top Bottom