Habarini mabestito!
Sio kwamba sijui ninachotaka kukijua bali nataka wengine wafunguke
zaidi katika kujua kile ukijuacho best wangu
nataka kufahamu maana ya maneno haya KIPAJI / KARAMA /...
MOYES. (nomino na kitenzi)
1. Mtu ambaye anacheka kijingajinga anaposhindwa mf. Kufeli kwako mtihani kumekufanya uwe moyes.
2. kukuta maendeleo pahali na kuyaondoa kabisaaa. Kumekuwa na umoyes...
Kizungu nouma aicseeee,jamaa likaulizwa mbona jana hukuja ndo likajibu hivyo, 'mbona nilikuja, i was waiting for you weeeee but where yaani nilikusubiri weeee lakin wapi' , div.5 hizi, ni...
Jamaaa kaopoa bone la Duu , kila baada ya sentensi mbili kiingeleza yaan yuo know you know nyingi tuu,
jamaa akaone huyu demu wa viwango vya kwa Obama , akaamua kumpeleka hoteli nyota tano wapate...
Leo mjini BUKOBA kulikuwa na maandamano makubwa ambayo hayajawahi kutokea wakiomba wajengewepicha ya senene ikitema lubisi, eti kisa wenzao wa MWANZA wamejengewa picha ya samaki ikitema maji...
Jamaa alinunua gari yake aina ya salon yenye uwezo wa kubeba watu watano akiwemo na yeye na akaenda nayo harusini, baada ya arusi njemba kama saba hivi zikaomba lift na yeye kwa kuhofia gari...
Baada ya story za hapa na pale na
kufahamiana kiaina...
Jamaa; Naomba basi namba yako ya simu..
Mdada; ya kazi gani?
Jamaa; nataka niipambe kwenye
phonebook yangu
Mdada; sina simu...
Wanajamii nilikua nasema kwa mfano kuanzia leo wanaume Tukasema nyumba ndogo basi tunabaki na wake zetu tuu.itakuaje? Nikafikiria itakua ni kilio cha kusaga meno kwa wanawake kwa maana kazi itakua...
Kuna mwalimu alikuwa akiwafundisha watoto kuhusu kujitambua, akauliza swali mtu -------- asimame. Bila kutegemea kijana mmoja akasimama, mwalimu akashangaa na kumuuliza kwanini umesimama ...
Mchungaji alimtembelea muumini wake, muumini akaandaa chakula safi basi kwa heshima akamkaribisha mchungaji aombee chakula ili wale., Mchungaji akaanza kuomba., libarikiwe shamba lililolimwa...
Jamaa mmoja alienda hosipitali alipofika akajieleza kuwa anajisikia homa kali, dakatari akamwambia kesho yake apeleke mkojo na uwe ni ule alio ukojoa mapema asubuhi. Jamaa alipo amka akakojoa...
Jamaa baada ya kuona anapata shida kusali kila ukifika mda wa kulala maana sala yake ilikuwa ndefu akaona ni bora aiandike kisha akaibandika ukutani, ikiwa ikifika mda wa kusali anasema
''Eeeh...
Waziri mmoja amelia leo bungeni baada ya kukumbuka matusi yaliyotolewa dhidi ya baba wa taifa wakati anahitimisha hoja ya wizara ya watu wenye umri wa kati chini na michezo. Waziri huyo bi fenesi...