Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Jamaa alinunua gari yake aina ya salon yenye uwezo wa kubeba watu watano akiwemo na yeye na akaenda nayo harusini, baada ya arusi njemba kama saba hivi zikaomba lift na yeye kwa kuhofia gari kuelemewa akasema waingie watano tu kwani wakizidi mafuta aliyonayo hayatatosha