JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari za weekand wanaMMU natumaini wote ni wazima wa afya Katika pitapita zangu nimegunduwa michepuko inazidi kuboreshwa hususani na wanawake Rafiki yetu Excel alituaga hapa kuwa anasafiri na...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Mwiliwe, Mwiliwe bhahungu na bhakobwa??? Jumapili ya leo najua imetawala amani pande zote, Kwasie tusiokuwa na mitoko leo,tulioamua kupumzika hebu tupeane habari,salaam,za pande hizo...Tuwaite na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
world cup start 12 june 2014,time 11:00pm& my birthday is 12 june ****** time 10:49pm. sasa wana jf nifanye nini world cup napenda,Birthday napena nipeni ushauri ili siku ikifika nijue nafanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiza kikianza tu jidada au jimama limevaa chupi ya mkojo linakatisha mitaani. Wakati alivyokua mdogo alikuaga wap?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
wanyama wanajua ukweli,wanyama wanajua uhalisia,wanyama wana imani kali,wanyama wanajua mapenzi,wapambanaji na wataftaji hawana kauli ila wana akili,mnyama anajua siri nyingi za dunia,nini ujuacho...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kasororobo = kasorobo Katiiba = katiba
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hali zenyu binafsi.... Leo tuungane pamoja kumtakia kila lililo jema ndugu yetu, member mwenzetu, rafiki yetu ndugu mshana jr kwa kutimiza miaka kadhaa... Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Haya ni baadhi ya majina ya kabila la wakinga huko nyanda za juu(makete) kama na wewe unayo mengine waweza kuyataja, i) Usukani Mahenge ii) Balubu Ngailo iii) Endiketa Kyando iv) 2nyi v)...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
''Hivi ikitokea siku moja ikagundukika Meno ya binaadamu yana THAMANI kuzidi yale ya TEMBO na njaa yako utabaki na mangapi kinywani mwako ?.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Upo katika hiyo nafasi na unatakiwa umuokoe mtu mmoja tu kati ya Mama Yako Mzazi, Mke wako kipenzi au Mwanao wa kiume wa pekee.
0 Reactions
5 Replies
915 Views
Nauliza hivi kati ya samaki na chupi kipi ninavuliwa sana?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama ulikuwa hujui ni frusa yako kujuwa sasa Pia kama unajuwa ni frusa pia ya kuwajuza wengine Karibuni tujuzane! 1.je unajuwa Kuna mji nchini Indonesia unaitwa "Surabaya"...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bonge la soo ugangani" Ishu ilikua hivi: Jamaa alipandisha jini kwa mganga: Mganga: Nini unataka tukupe utoke kichwani? Jini: Nataka chano cha Halua, Kuku mwekundu na Ng'ombe, Mganga: Sawa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Waungwana majibu haya yatasababisha ugomvi: Ilikua jmos niko pande za majengo moshi napata Noah ugali bhana meza ya karibu jamaa naye WA gereji ya karibu na maeneo hayo alikua anapata kitimoto(...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mzee mmoja na jirani yake walimpeleka mjukuu wake mzee hospitali baada ya kumeza sarafu ya sh. 200 kwa jirani. Madaktari walimchunguza na kuona hakuna namna zaidi ya operesheni ndogo, kwa hiyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alikuwa na tumbo kubwa sana mpaka mikono ikawa haifiki kujikuna hasa maeneo ya kwenye kitovu na kwingineko, hivyo ikawa tabu kumuelekeza msaidizi wake ni sehemu ipi hasa inayomuwasha...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Waungwana jf hukokwetu fb watu wanalilia like na comment wanapo weka stutus, eti huku kwenu jf muna hamu nanini unapo andika thread?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Za asubuhi mabibi ma mabwana, najua wengine mtakuwa hamjaamka, hivi naweza kupata mtafsiri ndoto hapa JF sababu watu wanasema ndoto nyingi zina maana. Sitaki kushushuliwa, nimeona hili swala lina...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Eheee, Ndo kusema this time hatuparty mweeh mbona sizioni zile shamra shamra zetu, Mwezi June si ndo kesho? au ni full mwaliko hamna mchango now loh nnakiherehere? Mjue nshanunua skonkodiko za...
8 Reactions
89 Replies
6K Views
MZAHA SAINGINE WATAKA PLAN Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe atafanya nini endapo ataamua kuondoka na kumuacha! Mwanamke huyo akaamua...
17 Reactions
33 Replies
8K Views
Back
Top Bottom