prospa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 554
- 157
Kuna mwalimu alikuwa akiwafundisha watoto kuhusu kujitambua, akauliza swali mtu -------- asimame. Bila kutegemea kijana mmoja akasimama, mwalimu akashangaa na kumuuliza kwanini umesimama , Mwanafunzi akajibu kwasababu sikutaka kukuacha umesimama peke yako ....................