Uvivu wa Mtanzania

jrmlaurence

Member
Dec 2, 2010
80
125
Jamaa baada ya kuona anapata shida kusali kila ukifika mda wa kulala maana sala yake ilikuwa ndefu akaona ni bora aiandike kisha akaibandika ukutani, ikiwa ikifika mda wa kusali anasema
''Eeeh Mungu Kama kawaida Hapo ukutani'' Ameen.
 
Njaa

JF-Expert Member
Dec 6, 2009
1,004
1,500
hata hivyo sioni tatizo, Mungu anajua imani ya mtu huyu. Labda kama uvivu nao ni dhambi. Au Mungu anataka sana magoti kutoka kwetu?
 
Murano

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,062
2,000
hata hivyo sioni tatizo, Mungu anajua imani ya mtu huyu. Labda kama uvivu nao ni dhambi. Au Mungu anataka sana magoti kutoka kwetu?

kweli, unaweza ukapiga magoti masaa 6 kumbe imani yako MANYOYA matupu.. jamaa imani yake nimeikubali.
 
SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,255
2,000
Shortcut kali sana hiyo! Tumwombee kwa Mungu amuondolee huo uvivu
 
nemulo

JF-Expert Member
May 5, 2014
1,594
0
hata hivyo sioni tatizo, Mungu anajua imani ya mtu huyu. Labda kama uvivu nao ni dhambi. Au Mungu anataka sana magoti kutoka kwetu?

Mkuu,ile kujitoa kumuomba Mungu wako ina umuhimu sana"ombeni bila kukoma" na hata kukata usingizi mara nyingine mfano usiku wa manane au alfajiri sana ni muhimu kwani umeutesa mwili wako kwa ajili ya Muumba wako,ndio maana wengine wanafunga,hakika kwa kufanya hayo Mwenyenzi Mungu atajibu uyaombayo,Ila pia IMANI ni muhimu iambatane na maombi hayo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom