Waziri alia bungeni leo

Waziri alia bungeni leo

Kijamani

Senior Member
Joined
Nov 10, 2009
Posts
159
Reaction score
9
Waziri mmoja amelia leo bungeni baada ya kukumbuka matusi yaliyotolewa dhidi ya baba wa taifa wakati anahitimisha hoja ya wizara ya watu wenye umri wa kati chini na michezo. Waziri huyo bi fenesi mkaa ngwara alionekana akilia kwa kwikwi na kufuta makamasi yaliyokuwa yakimtitiririka. Hata hivyo msaidizi wake bwana mkaa mia aliduwaa kuona kitendo hicho kwani alisema hawajakubaliana na daktari huyo wa philosifia afanye hivyo.
 
Back
Top Bottom