Wakuu nina takribani 13yrs hapa Dar but nilikua sijawahi kula vile vipande vya pweza.......kwanza nilikua naona kinyaa sana.......but leo jioni one of my friend kanitembelea.......baada ya...
Habari zenu wakuu!!
Hivi kwanini humu JF mnatumia ID za kustaajabisha sana! Yaani kuna mda nikikaa peke yangu huwa nacheka nikikumbuka baadhi ya ID! Mara ya kwanza nlikutana na hii hapa...
Kumpata mtu ambaye unamuona anakufaa kuishi nae inahitaji jitihada kwani tumekosa jicho la tatu kumjua nani mkweli wa ukweli na ni nani ni muongo wa ukweli.
Tuchukulie umeshampata mtu huyo tena...
Basi juzi nisikia jamaa flan anamtambulisha mtoto wake kwa nduguye mabo yalikuwa hiviiiiii,
MTAMBULISHAJI: Basi mwanangu huyu hapa ni nguguyo kabisa ni mtoto wa bibi yake na shemeji wa binamu...
Wanajf sio mbaya kwa wale waliokuwa hawajui wakajuwa
Maana hii nyumba ni yetu sote bujibuji ni mwanamke mwenye makalio makubwa tena malaiiini sana na akitembea yanatetemeka sana
Akinyeshewa mvua...
Habari za jumatatu wakuu!
Kwa kifupi tumezoea kuona LIKE kule facebook na kama ni maarufu kuna watu wanapata like hata mil na wengine maelfu
Tufanye zoezi moja hapa wanajf tugoge LIKE kwenye huu...
Mimi niko na Yesuuuu,
Sidanganyiki ng'oo!!
Hahahaaaaa. Huu kweli usanii mtu anaimba kile ambacho kwake ni vigumu mno kukitekeleza. Anakwambia hadanganyiki lakini moyoni amedanganywa sauna.
ACHA...
,Leo asubuhi mida ya saa tatu asubuhi wakati nalala nilivamiwa,nikasikia sauti yao nikaona wanakuja,nikaamka toka usingizi gafla,moja akanifuata akitaka kunivamia,kwakuwa huwa nalala na silaha...
mmesigana na mwenza wako kiasi kwamba hamna mawasiliano yoyote lakini mnamisiana sana tuu, halafu nite moja unaota ndoto tamu mno, mko wote mmepatana na mnakumbushana machungu ya kipindi ambacho...