Hizi ndizo LIKE nzuri za Jamii Forum

kuchangumu

JF-Expert Member
Apr 2, 2014
724
290
Habari za jumatatu wakuu!
Kwa kifupi tumezoea kuona LIKE kule facebook na kama ni maarufu kuna watu wanapata like hata mil na wengine maelfu
Tufanye zoezi moja hapa wanajf tugoge LIKE kwenye huu uzi tuone na sisi huku jf tutaenda elfu ngapi?
Gonga LIKE mkuu upite.
 
Back
Top Bottom