Hivi hii ishawahi kukutokea?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,411
2,000
mmesigana na mwenza wako kiasi kwamba hamna mawasiliano yoyote lakini mnamisiana sana tuu, halafu nite moja unaota ndoto tamu mno, mko wote mmepatana na mnakumbushana machungu ya kipindi ambacho mligombana, mnacheka kwa furaha, unageuka kitandani ili umkumbatie na kumbusu unashtuka na kujikuta ukn pekeyako kitandani usiku mwingi na mito yako
 
Futota

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
522
195
Mkuu, hebu shughulika kupunguza huo mfadhaiko, namna hii ni hatari:israel:

mmesigana na mwenza wako kiasi kwamba hamna mawasiliano yoyote lakini mnamisiana sana tuu, halafu nite moja unaota ndoto tamu mno, mko wote mmepatana na mnakumbushana machungu ya kipindi ambacho mligombana, mnacheka kwa furaha, unageuka kitandani ili umkumbatie na kumbusu unashtuka na kujikuta ukn pekeyako kitandani usiku mwingi na mito yako
 
Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,317
2,000
kuacha huku unapenda ni hatari kwa afya yako,siku ukimwona yupo na ampendae unaweza poteza mzunguko halisi wa mapigo ya moyo.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,411
2,000
kuacha huku unapenda ni hatari kwa afya yako,siku ukimwona yupo na ampendae unaweza poteza mzunguko halisi wa mapigo ya moyo.

imenitokea imewatokea wengi, na inawatokea wengine na itaendelea kutokea ni roho ya mateso haitakoma...!!!
 
Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,317
2,000
imenitokea imewatokea wengi, na inawatokea wengine na itaendelea kutokea ni roho ya mateso haitakoma...!!!
tatizo ni moja tu, ni pale wanapogundua kuwa tunawapenda kuliko chochote,nao hutumia udhaifu huo kuwaumiza wenzi.

bora umpende ndani kwa ndani na asijue kuwa unampenda sana...
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,411
2,000
tatizo ni moja tu, ni pale wanapogundua kuwa tunawapenda kuliko chochote,nao hutumia udhaifu huo kuwaumiza wenzi.

bora umpende ndani kwa ndani na asijue kuwa unampenda sana...

slave uko sahihi kabisa lakini kumbuka kuna wengine hatuwezi kuficha upendo kwakuwa michepuko sio zetu
 
Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,317
2,000
slave uko sahihi kabisa lakini kumbuka kuna wengine hatuwezi kuficha upendo kwakuwa michepuko sio zetu

hahahaaa ogopa pain of love mzee ni sumu hataree!! kumbuka kuwa haijawahi tokea wawili wakapendana, utakuta mume anapeeeenda huku mwanamke hapendi hivyo hivyo mwanamke anakupeenda saana. ila wewe humpendi.
 
Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,791
2,000
mmesigana na mwenza wako kiasi kwamba hamna
hii kali.
mawasiliano yoyote lakini mnamisiana sana tuu,
halafu nite moja unaota ndoto tamu mno
hapo sasa!
, mko wote mmepatana na mnakumbushana machungu ya kipindi ambacho mligombana
such a romantic day...
, mnacheka kwa furaha, unageuka kitandani ili umkumbatie na kumbusu unashtuka na kujikuta ukn pekeyako
hii movie sasa jamani...
kitandani usiku mwingi na mito yako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom