Je, unakitambi na unataka kukiondoa?...fuata haya

Je, unakitambi na unataka kukiondoa?...fuata haya

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
220
Reaction score
126
1)Kopa mkopo mkubwa benki alafu "MAJEMBE AUCTION MART" wawe ndo wafuatiliaji. 2)nunua gari la biashara bovu tripu kazini tripu gereji.. 3)Oa mke mwenye mdomo..ukiona kitambi hakijaisha ujue huo ni uvimbe na sio kitambi....#doctor_kitaa *¥...ongezea na yako.
 
Jenga nyumba ya kifahari na ya kisasa karibu na barabara(road reserve).
 
Shinda na Lema kwenye maandamano yakee lazima kipunguee
 
oa mwanamke mzuri wa umbo namba 8 na afu uwe huna hera na huyo mwanamke kabila lake awe mhaya,mrangi,mnyakyusa,msambaaa mzaramo au mlugulu utajuta kitambii kitaisha tu
 
bosi wako awe mhindi mweusi (hana shule) halafu amekuja na familia nzima bongo. hana mpango wa kurudi kwao
 
umeenda salun kunyoa nywele ukitoka uende kwny interview ghafla umeme unakatika na kinyozi hajamaliza kukunyoa!!
 
tafuta mchepuko ambao mwenyewe njagu halafu kosea kutuma sms badala ya kutuma kwa mkewe umtumie yeye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom