Mitihani ipo ila huu unauweza?

Mitihani ipo ila huu unauweza?

kbmk

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
776
Reaction score
158
Kumpata mtu ambaye unamuona anakufaa kuishi nae inahitaji jitihada kwani tumekosa jicho la tatu kumjua nani mkweli wa ukweli na ni nani ni muongo wa ukweli.

Tuchukulie umeshampata mtu huyo tena mmependana haswa na kumuamini haswaaa na kumuona anastahiri kupewa nafasi uliyo mpaka mkawa miongoni mwa walee hakuna ngono bila ndoa.

Muda umepita mnaenda kupima mwenzio ana HIV Positive utafanyaje?
 
Hii thread kama sio mahala pake vile au macho yangu yananidanganya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom