Tafadhali soma hapa kabla hujalala uongeze siku za kuishi.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Mwalimu wa History Kawauliza Wanafunzi
Mwl: Eeehe ! Ni Nani Aliyemuua Chifu Mkwawa?
Mwanafunz 1: Aka Sio Mimi !
wa 2: Wallah ! Sihusiki !
wa 3: Kwanza Me Jana ckuja Shule!
Mwl Alipoona Wanafunzi Wote Ni vilaza Akaamua Kumuita Mkuu Wa Shule, Mkuu Wa Shule Alipoenda akawauliza Lile Swali "kwa vitisho" Mambo Yakawa Vilevile. Ndipo(mkuu wa shule) Alipomuita Mwalimu Pembeni Na Kumnong'oneza "Lakini Una Uhakika Muuaji Yupo Darasa Hili?" Mwalim Akazimia
 
Kwi kwi kwi ,mwalimu akzinduka lazma awe chiz!
 
Mwalimu wa History Kawauliza Wanafunzi
Mwl: Eeehe ! Ni Nani Aliyemuua Chifu Mkwawa?
Mwanafunz 1: Aka Sio Mimi !
wa 2: Wallah ! Sihusiki !
wa 3: Kwanza Me Jana ckuja Shule!
Mwl Alipoona Wanafunzi Wote Ni vilaza Akaamua Kumuita Mkuu Wa Shule, Mkuu Wa Shule Alipoenda akawauliza Lile Swali "kwa vitisho" Mambo Yakawa Vilevile. Ndipo(mkuu wa shule) Alipomuita Mwalimu Pembeni Na Kumnong'oneza "Lakini Una Uhakika Muuaji Yupo Darasa Hili?" Mwalim Akazimia
Kwa kweli na kuchoka sana kwa majukumu, hapa umenipata maana nimecheka mpaka basi.
 
Hahahahaha halafu mwisho wa siku kawambwa atakuja kutangaza kuwa Ufaulu umeongezeka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom