JF ni noma

JF ni noma

Hahahaaa....kila muda pako active eeeh. Watu wanalala na kuamkia jf.
 
mh great thinkers hao eti wanajadili kama watu wanalala....jaman hivi mumesahau jf unaweza kuipata mahali popote duniani??that means wakati wewe umelala..kuna wenzio wapo nchi zingine wao ni asubuhi au mchana na shughuli zinaendelea kama kawaida....kuna members wengi humu wapo nje ya tz kwa taarifa tu kama mtoa mada ulikuwa hujui...yani una mawazo mgando kweli..ni sawa na kuuliza mbona mechi za kombe la dunia wenzetu walikuwa wakizicheza wakati ni muda wa kulala ina mana wao hawalali??....he he division five at work
 
Kasheshee!!....sidhan kama kuna asiyejua hilo,au unahisi kuna washamba wa net humu ndani..
 
Pia Hata Wewe Huwa Hulali Umejuaje Kwamba Wanajamiiforums Huwa Hawalali.


NO CURRUPTION NO CCM
 
Kwa akili yako unafikiri hapo kwako ikiwa saa 9 usiku basi dunia yote ni saa 9??? HIi BRN ni janga kwa taifa!
 
mh great thinkers hao eti wanajadili kama watu wanalala....jaman hivi mumesahau jf unaweza kuipata mahali popote duniani??that means wakati wewe umelala..kuna wenzio wapo nchi zingine wao ni asubuhi au mchana na shughuli zinaendelea kama kawaida....kuna members wengi humu wapo nje ya tz kwa taarifa tu kama mtoa mada ulikuwa hujui...yani una mawazo mgando kweli..ni sawa na kuuliza mbona mechi za kombe la dunia wenzetu walikuwa wakizicheza wakati ni muda wa kulala ina mana wao hawalali??....he he division five at work

hao wa nje hawawezi kuandika habari za hapa TZ, wangekuwa wanatoa habari za kwao, lakini zinatoka zile habari ambazo hata magazeti ya udaku na tbccm hazijanyaka, wao tayari​


 
Muda gani kwa mfano...???​



  • nikiamka asubuhi nikiwasha simu ni full message alerts za JF
 
Back
Top Bottom