Kwa mwanamke/binti yeyote aliyeko macho muda huu

Kwa mwanamke/binti yeyote aliyeko macho muda huu

ndugu yako

Senior Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
193
Reaction score
97
kama umekosa usingizi kama mimi njoo pm tuchati tuliwazaje jaman.

Angalizo;- hii nafasi ni kwa wanawake tu.
 
Bahati mbaya cmu angu imeingiwa maji!! Unataka tuliwazane juu ya katiba? Ili niibe ya nanii!
 
tutongozaneni hapa hapa kupeana uzoefu, kwa Prime Minister panatisha.
 
wee ulilenga nani?

Ujue PM zinaleta mimba zisizotarajiwa na ukimwi. Hapa ni kama tunafanya process ya kupima na kutumia kinga kwa pamoja.

hahahahahahahahah!!!! mkuu unataka kutongozana na nani?!
 
wee ulilenga nani?

Ujue PM zinaleta mimba zisizotarajiwa na ukimwi. Hapa ni kama tunafanya process ya kupima na kutumia kinga kwa pamoja.

mmmh!!! mbona siuoni uhusiano wa PM na mimba zisizotarajiwa na ukimwi?!
 
Back
Top Bottom