Hivi kweli kuna majina yanachosha yaan unashindwa hata mtu umfikirieje mti anajiita mpenda k hiv ulikosa jina au ndio hapo unaombwa urafiki na mtu anajiita hivyo kwa kwelii,haya bana Evelyn Salt...
Kuna sista duu mmoja alikutwa anapiga chabo katika pepa na lecturer alikuwa wa kiume akamfuata na kumuuliza sasa nimekudaka sasa tumalizane au ifike mbele sistaduu kwa pozi la kimahaba akasema...
Hapa mtaani kuna mlemavu ana mguu m1 anatumia magongo, basi aliniomba pesa siku ya kwanza nikawa sina akapita siku nyingine akaniomba nikamwambia sina, mungu wangu, aliporomosha matusi balaa...
ni jambo zuri sana kumwona mwanaume halisi akipiga kazi bila kuchagua aina ya kazi.. lakini hii milegezo mingine ni kero hata kama anaekuangalia haimuhusu..
unakuta libaba lizima limeinama...
Scientist estimates that You"ll fall in Love seven times before you get married......unaweza ukapima mwenyewe uko mara ya ngapi ku fall kabla ya ndoa yako...!
kwa mala ya kwanza kufika town kwa rafiki wa #Baba {mungu amrehemu} nikaomba kwenda chooni kuingia tu kwanza nika vua gulubasi jinsi marumaru inavo ng'aa choo kina nukia vizuri baada ya kukojoa...
Wadau naomba msaada mwenye experience anisaidie. Ninamademu permanent wawili but unfortunately siwapendi hata kidogo na nataka kuachana nao coz there love iz too big for me to carry. Yaani wako...
Bidhaa inapo kuwa adimu basi mjitahidi kwa upendo mshirikiane kile kidogo kilichopo. Haiwezekani mwanamke kwa maisha ya sasa kujitamba huyu ni mume wangu peke yake angali wapo wanawake wengine pia...
My fisrt, tulienda airport kuangalia ndege, tukapiga picha, tukiwa kwenye bus on our way there, tulikua tukiimba nyimbo mbali mbali na mapambio moja wapo yakiwa ya kumhamasisha dereva akimbize...
Invisible anafaa ila kugombea urasi anakataa/
labda utumishi wa umma ndo Utamfaa/
akiwa mambo ya ndani ndo balaa/
wengi lazima ban watakataa/
J.Mushi na Feedback kateni rufaa/
Waberoya huna chama...
Naelekea shamba, hali ya hewa ni nzuri na tulivu kwa sasa niko nakaribia Mkuranga kweli Dar hali ya hewa yake ni ya msongamano tu.
KaribunI Ikwiriri Rufiji wana jf, kwanI kuna mashamba ya kutosha...
Kudate mke wa mtu siyo jambo zuri, na ukiweza kuepuka ni vyema ukafanya hivyo. Hivi karibuni rafiki yangu wa karibu amekumbwa na balaa kubwa kutokana na kitendo hiki.
Pamoja na kwamba si jambo...
Hi,Im Jacob Ng New to this site.
I am here to communicate to make new friends with the members of this forum and i would like
to share my experiences with you all.
Regards:Jacob Ng