mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,532
- 138,480
Naelekea shamba, hali ya hewa ni nzuri na tulivu kwa sasa niko nakaribia Mkuranga kweli Dar hali ya hewa yake ni ya msongamano tu.
KaribunI Ikwiriri Rufiji wana jf, kwanI kuna mashamba ya kutosha udongo wenye rutuba pia na kama unauwezo unaweza miliki ekari za kutosha.
Good morning all.
KaribunI Ikwiriri Rufiji wana jf, kwanI kuna mashamba ya kutosha udongo wenye rutuba pia na kama unauwezo unaweza miliki ekari za kutosha.
Good morning all.