Kijana mmoja kutoka Manda alikuwa anang'ang'ania kwenda Dar es Salaam licha ya baba yake kumzuia, baada ya baba kuona juhudi zote za kumzuia zinashindikana akaamua kumruhusu lakini kwa kumpa usia...
Enzi zile kipindi tuko shuleni level ya msingi tukiwa darasani ilikua inatokea Ukimya wa ghafla ulokuwa unadumu kwa sekunde kama 3 mpaka 5 wakati unakuta watu mlikua mnaongea kwa makelele kabisa...
Kwenu mliowahi na mnaoendelea kumaliziana lodge sasa hivi mjini zimesambaa CD kibao za ngono zilizorekodiwa katika logde mbalimbali na inavyonekana watu walikuwa wanarekodiwa bila kujijua...
NIMEPITA hapa mapambano kituoni kuna supermarket. Naambiwa story mzee mmoja leo kakutwa ameiba dawa ya mbu kaweka kwenye kufuli lake
camera zikamdaka maskini wakamtoa nje wasimwiitie mwizi...
Jamaa mmoja alifumaniwa na mke wa mtu, akafanikiwa kukimbia uchi hadi Stendi... Akapanda Daladala
Konda akawa anamuangalia yule jamaa mara mbili mbili.
Jamaa akamuuliza Konda: Unashangaa nini...
Ivi nauliza wale juu ya wale WAPENDANAO pindi wanapomalizana VICHAKANI hua wanavua nguo au ni style ya kufungua zipp na kushusha under wear....na style gn hua wanatumia???
Una swali lolote au kitu chochote ambacho ungependa kujua kuhusu warumi??,ushauri na je kitu gani uwa unakifurahia kutoka kwangu au kuchukia? Wakati ndio huu,nimetoa nafasi adimu kwa kila mtu...
Ujue Ni Kitambo Sana Siku Hizi Sionekani Jamvini .Ujue Sababu Niko Mahangaiko Makubwa Kusaka Pesa.Napiga kazi asubuhi mchana jioni na wakati mwingine hadi usiku najikuta nakosa muda wa kuzama...
Kuna baadhi ya wanaume hupenda kujifanya wanajua sana mambo chum...n...afu kumbe si lolote....na wanaume wa dizaini hii pindi ufikapo chumba....n utakuta wana VIBAMIA.....
Naomba msaada kwa anayelijua hili.kwamba nikikata tiketi ya safari ya Mwanza to Dar es Salaam go and return miezi 2 kabla ya safari inakuwa tsh ngapi?msaada tafadhali
Uwiiii.....Nicheke mie, ninune nimefiwa na nan!!!
Sina pengo, gego wala jino bovu.
....japo wahenga walisema, "Bora kuvaa ndala kuliko mdundo mbovu', hahahha.... ,heri ya pengo kuliko jino bovu...
Jamaa kaenda Ulaya kwa ndugu yake na kingereza cha kuunga unga cku moja amekaa akagizwa dukan kununua mahitaji ya home akiwa ameshanunua baadhi ya mahitaji ikawa imebaki kununua mayai akawa...
Hayo maneno yanapaswa kutumiwa na wanawake haingii akilini mwanaume kuandika hayo otherwise uwe watu wa ile jamii ya akina Bhanunu vinginevyo hiyo misemo ni ya kike na haipaswi kuandika na mwanaume.
Fainali ya kombe la dunia Brazil kati ya Argentina na German, nikasema, mm napenda German ishinde. Jamaa m1 dreva akaniuliza, Ujerumani iko Afrika? Na alikuwa serious, nikaogopa kwa maana mtu...
Hivi mimi nauliza, kuna ubaya kubambia kwenye daladala? Maana daah mimi sioni tabu espeshiaree pale kuna foleni halafu mdada mwenye wowowooo akiwa mbele yangu ili kuondoa stress za foleni...
Hili nimeliona kila ninakopita na ninaowaona. Pia nimesikia sijui wapi tena kuwa ni fasheni mpya! Nami nimeanza pia kuwahusudu wanawake wenye vitumbo. Katika hili, mwanamke anapendeza zaidi pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.