Jinsi ya kumuacha demu

Jinsi ya kumuacha demu

Bokodo

Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
5
Reaction score
1
Wadau naomba msaada mwenye experience anisaidie. Ninamademu permanent wawili but unfortunately siwapendi hata kidogo na nataka kuachana nao coz there love iz too big for me to carry. Yaani wako committed na wanajitolea kwa hali na mali. Kuna mmoja nilimchana live kua simtaki ...baada ya siku 2 akaniambia nimtumie akaunti sikutuma ...akatuma hela 500000 kwenye simu ...akaniuliza meseji umeiona nikamwambia ndio ...umetuma hela ya nini? Kajibu subiri nikija tutaongea vizuri ....huyo mwingine ni zaidi hata ya huyo wa kwanza ....nifanyeje niachane nao coz I feel so guilty and selfish ......
 
kama hukuwapenda kwa nn uliwatongoza?
afu kwa nini uwe nao wote? wewe ni mala.ya...
unawatesa watoto wawatu.. subiri zamu yako kwa huyo utakaejifanya unampenda.
 
I feel so guilty and selfish ......

Hii ni kauli ya kinafiki mkuu,umewatumia na kuwapotezea muda wao kitu ambacho kilikuwa nia yako toka awali halafu unajifanya u are feeling guilty!!

By the way,badilisha kiingereza,sio "There" ni "Their"(possessive pronoun)

Subiri malipo yako mkuu,ni hapahapa duniani.
 
Xfactor kuna kitu kinaitwa kasoro zenye kasoro by mwanafa .....sema "their" ....rudia mara 3
 
Vijana wa MMU kwa promo mnatishaje....!!
Listen Mwambie akuongezee fedha utampenda tu
 
kama hukuwapenda kwa nn uliwatongoza?
afu kwa nini uwe nao wote? wewe ni mala.ya...
unawatesa watoto wawatu.. subiri zamu yako kwa huyo utakaejifanya unampenda.

Haikogi hivyo ......eti ukimcheka kilema utazaa kilema ....maneno mbofu mbofu .....
 
Mind on u zat what's goes around comes around .......when it'll comes to u utajuta yan utapendaaaaaa usipopendwa utawakumbukaje
 
Usiwe unapokea hela zao, na wakituma zirudishe, wameshaona udhaifu wako unapenda hela, unapenda kuhongwa A.K.A marioo, wakiona hupokei pesa tena watakata mawasiriano.
 
Siongwi but my mistress will do anything to keep me

Sasa uanaume wako uko wapi?badala uwahudumie wewe wewe tena ndo umekuwa wakuhudumiwa.mhhhh kwa kweli umeniacha na maswali mengi!!!!!!
 
Chagua 1 uendelee naye mwingine poteza mawasiliano yake atajiongeza. Ila wazo la kuacha wote utajuta kumpata demu mwaminifu anayekupenda kama hao. Wengi sikuhizi wajasiriamiili. Sasa huyo alikuhonga laki 5 anafanya kazi gani ayse. Maana ukute anamchuna kigogo fisadi halafu anakula na wewe kijana umkune fresh sabu babu mshindo 1 kazi basi! Wapo mademu wengi wa namna hiyo ila usiwaze sana ukimpenda mtu endelea naye vyovyote itakavyokuwa.
 
Back
Top Bottom