Majina mengine !!!!!!!!

Majina mengine !!!!!!!!

mpenda k... kitumbua, kuku, kamba, kashata, kababu, .............. una maanisha k gani?
 
ni kweli ukiongeacho ila jina langu lina maana nzuri kabisa
:A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11:
 
Ila wewe jamaa toka jana nakuona ulimmind jamaa alijiita mkulupumbu.... uctafsili majina ya kilugha kwa kiswahili ayo n matatizo yako ya kichwa

Nitapata wapi daktari bingwa anitibu? 1407169301249.jpg
 
Huhitaji tiba... u nid to think properly... kuna wajapan wanaitwa kumamoto... kwa kiswahili ni matusi bt kwa lugha yao si matuc.... kua kiakili

Duu naona kama huu ni mpambano mpya na nature ya post inafanana. To me you are no longer my concern kalale na hii 1407169798609.jpg
 
Yani mumie ndio naona thread yako sasa hivi.Duh kweli kazi ipo!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom