Kuna wakati nikisikiliza matangazo ya vifo kwenye radio huwa nashindwa kuelewa watu wanamaanisha nini. Mfano, utasikia mwajuma ndalandefu wa Mbagala anasikitika kutangaza kifo cha babu yake...
Umofia kwake wasiwasi mwabulambo jamaa ni jembe aka mnyama namkubali sana kwenye ile pande aka segment kwenye kipindi cha amplifaya hasa anapotumia maneno yake ya kimtaa.
Raia mmoko mwenye...
Hi,Im Tianyi Wang New to this site.
I am here to communicate to make new friends with the members of this forum and i would like
to share my experiences with you all.
Regards:Tianyi Wang
Hivi wakuu wa JF, kwa nini mnakuwa wagumu namna hiyo kutoa likes kwenye threads za wenzenu? Au kwa vile tunatumia avatars. Sometimes unakuta thread imeenda shule na viewers kibao lakini likes ni...
Sio kweli kwamba Babu wa Loliondo ametumwa na Mungu kutumia dawa hiyo kuwaponya watu. Huyo Babu ametumwa na "mungu wa dunia hii(shetani) ili kuwadanganya watu waache kumtumaini na kumwamini Mungu...
Taja nchi mojawapo ambayo unahisi ukiishi utakuwa na furaha moyoni mwako maana hapa Bongoland chini ya magamba panaboa aisee. For me USA, QATAR OR ISRAEL.Kuna zingine bora nibaki Bongo mfano...
Haya ndiyo Mapenzi kama nilivyowaona wapenzi hawa wawili, baada ya kuongea nao Mwanaume alisema yeye ni Mwana CHADEMA na Mwananmke alisema yeye kwa kweli anaipenda sana CCM! Lakini tofauti zao...
ukipass tu unaanziwa mikwara
ukifika tu shuleni
kupiga simu chooni hasa ukiwa jeuri utakoma ubishi
wasichana mpaka watoe penzi kwa wababe
juingia form one kwa miaka hiyo ilikuwa...
Kuna jamaa alikuwa anafanya usafi ndani ya ndege mara akapata kitabu,kitbu hicho kinamaelezo ya kuendesha ndege, jamaa kila akisoma anafanya na kitendo!!!!ikaanza jinsi ya kuwasha akawasha...
Utakuta mwanafunzi amejiwekea ratiba ya kusoma night ndefu inaweza kuanzia saa saba usiku mpaka asubuhi,matokeo div 3 au 4,kusoma kuelewa kukesha mbwembwe hakika mnajichosha na kupata malaria...
Ni mila na desturi duniani kote, kwenye unyago wanafundishwa pia jandoni tunafundishwa kwenye mafundisho ya ndoa wanafundishwa hata kwenye yale mafunzo kama ya akina mama Teri nako yanasemwa...
Hi hawa jamaa mbona wana majina ya kutishatisha tu?
Invisible- Kitu kisichoonekana laweza kuwa jini
Paw - mkono wa simba
Pruner - Mnajua kazi yake
Fang.. Hata sijui nini maana yake ila...
Habari mabestito
Nimeshindwa kuvumilia imenibidi niseme waziwazi hapa kwani wengine bila ya kuwasema hawatajirekebisha, nimekereka na vitabia vya marafiki wa siku hizi hapa mjengoni kiasi kwamba...
ALHAMDULILAH RABIL-ALAMIN. Mwenyez Mungu kaniruzuk mtoto wa kiume mchana huu MASHAALLAH, mtoto yupo na afya njema na mama yake. Kwa kweli nina furaha isiyokua na mfano mchana huu AMA CNA CHA KUMPA...
Ukiona Kijana anatembe na Bahasha ya Kaki Mjini Ujue ndani mna Barua za Maombi ya Kazi, Vyeti na CV
Ukiona Mama ana vifurushi nyakati za jioni ujue mna aidha mkate/nyanya/viazi/ndizi etc-ana...
Let's see how smart you really are!
A rich man needs_______.A poor man has_______. If u eat _______u die and when u die u can take______with u!
One word fits all 4 blank spaces! Its a seven...
Hií ilitokea sehemu moja huko mbwinde
kwenye mahakama zetu!
Hakimu: unahukumiwa kwa kosa la ..... Kwa kuvunja katiba ya nchi.., kifungu no..
Je mshitakiwa unachakujitetea..
Mshitakiwa...
Tuko, Heko na hongera kwa kuongeza miaka kadhaa ya kukimbilia uzeeni..
Nashukuru Mungu huyu kwa kuzidi kukuongezea miaka zaidi ya kuendelea kuwa nami na member wote wa JF , kwa michango mbali...