Habari bila wasiwasi na wasiwasi mwabulambo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari bila wasiwasi na wasiwasi mwabulambo!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by King Kong III, May 18, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Umofia kwake wasiwasi mwabulambo jamaa ni jembe aka mnyama namkubali sana kwenye ile pande aka segment kwenye kipindi cha amplifaya hasa anapotumia maneno yake ya kimtaa.

  Raia mmoko mwenye nyundo ishirin na bee toka pande za mjengoni aka dodoma amefikishwa kwa pilato kwa kosa la kumdakisha kijela msichana ambae ni neiba yake .......Hata hvyo jamaa amerudishwa nyuma ya nondo coz mainvestigation yanaendelea.
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  nimeipenda hii kwa kweli
   
 3. S

  Starn JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huo ni uharibifu wa lugha
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,970
  Likes Received: 599
  Trophy Points: 280
  jamaa ongea yake inakuwa inakaribiana na mshikaji wa Siz Kitaa wa Clouds Tv....
   
 5. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 838
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  dah! iko poa sana
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,958
  Likes Received: 2,629
  Trophy Points: 280
  hivi anae amplifaya ni Milard au Wasi....nimechanganya mjue....
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,417
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Karibu watangazaji wote wa dot.com wanafanana, sio klauzi wala wapi. Abdul Mohamed ndo ana sauti yake authentic...
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,139
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  mie napenda jina lake la kienyeji tu.
   
 9. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kama ndio anaongea hivyo anafurahisha ngoja leo ntasikiliza hyo amplifaya
   
 10. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,248
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  majina mengine bhana, utamuitaje mtoto WASIWASI! Hbari zake na jina lake zinaendana.
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,735
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  me napenda ila break nyuz ya makorokocho
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2014
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Raia mmoko wa pande za mbunge mjela jela anashikiliwa na watoto wa mangu kwa tuhuma za kumkata ki-Advocate mtoto mwenye asili ya babu sikare akichezesha taya na informer raia huyo soon atafikishwa ubaoni pindi ushahidi utakapokamilika.
   
 13. Heaven Sent

  Heaven Sent JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2014
  Joined: Sep 27, 2013
  Messages: 13,777
  Likes Received: 14,027
  Trophy Points: 280
  Millard ndo anatangaza hicho kipindi amplifaya, Wasiwasi ana segment tu ya dk chache kwenye amplifaya
   
 14. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2014
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,525
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Uswazi ndio mpango mzima.
  Nalog off
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Aug 13, 2014
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,930
  Trophy Points: 280
  Wasiwasi alikuwa anakipendezesha kipindi sana ila azam walimpenda zaidi.
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2014
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,958
  Likes Received: 2,629
  Trophy Points: 280
  Hawayuuu.......
   
Loading...