Mambo ya kuwatesa form one yaliishia wapi?

Mambo ya kuwatesa form one yaliishia wapi?

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,219
ukipass tu unaanziwa mikwara

ukifika tu shuleni

kupiga simu chooni hasa ukiwa jeuri utakoma ubishi

wasichana mpaka watoe penzi kwa wababe

juingia form one kwa miaka hiyo ilikuwa tabu sukuhizi yameisha
 
ukipass tu unaanziwa mikwara

ukifika tu shuleni

kupiga simu chooni hasa ukiwa jeuri utakoma ubishi

wasichana mpaka watoe penzi kwa wababe

juingia form one kwa miaka hiyo ilikuwa tabu sukuhizi yameisha

Duuuuuuuuuuuh umenikumbusha siku ya kwanza kujiunga na kidato cha kwanza shule moja ya mkoani Mtwara nilivyopokelea kwa matusi ya nguoni kutoka kwa dada mmoja hivi.....hakika tabia hii ilikuwa mbaya sana..........
 
ilikuwa raha sana uone mwenzako anateswa lakini sio wewe. nakumbuka Iyunga kuna jamaa alikuwa anakupa shs 50 anakuambia ukalete mswaki, dawa ya meno, maandazi na chenji ibaki. ole wako usilete, utaacha shule!!!

huu utaratibu ulikuwaga unyanyasaji mbaya sana. kuna wengine walikuwa wanaacha shule kuogopa mateso.
 
Form I wa sasa hivi ngumi kali,watakuchapa mpaka utafurahi.
Nalog off
 
Back
Top Bottom