Lady N
JF-Expert Member
- Nov 1, 2009
- 1,914
- 131
Kuna wakati nikisikiliza matangazo ya vifo kwenye radio huwa nashindwa kuelewa watu wanamaanisha nini. Mfano, utasikia mwajuma ndalandefu wa Mbagala anasikitika kutangaza kifo cha babu yake kilichotekea huko Mkuurombo na mazishi yatafanyika Mkuurombo. Mipango ya mazishi inafanyika leo saa---- riverside BAR na sijui BAR gani huko Arusha. Habari ziwafikie
1 Mtoto wa marehem akiwa UK
2 Binamu wa marehemu akiwa Singapore n.k n.k
swali langu ni hili, huko Uk sijui singapore n.k radio tz inasikika kweli? na je hii desturi ya kukutana BAR kupanga taratibu za misiba imekaaje jamani? is it necessary kukutana Bar?
"JUST OUT OF CURIOSITY"