Unanihukumu kwa katiba ipi..?

Unanihukumu kwa katiba ipi..?

Mwa chando

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
359
Reaction score
122
Hií ilitokea sehemu moja huko mbwinde
kwenye mahakama zetu!
Hakimu: unahukumiwa kwa kosa la ..... Kwa kuvunja katiba ya nchi.., kifungu no..
Je mshitakiwa unachakujitetea..

Mshitakiwa; hakimu umesema nimetenda kosa gan na nimevunja katiba nini sijui
kwanza nahukumiwa na katiba ya warioba au ipi.!

Hakimu : eeeèh kesi imeahirishwa mbaka muafaka wakatiba utakapopatikana
 
Enheee! mwambie huyo Hakimu aelewe.Sisi mpaka sasa hivi tunaitambua katiba ya UKAWA tu full stop!
 
Back
Top Bottom