Hawa Mtawatambua Tu Kama Ifuatavyo

Hawa Mtawatambua Tu Kama Ifuatavyo

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,268
  1. Ukiona Kijana anatembe na Bahasha ya Kaki Mjini Ujue ndani mna Barua za Maombi ya Kazi, Vyeti na CV
  2. Ukiona Mama ana vifurushi nyakati za jioni ujue mna aidha mkate/nyanya/viazi/ndizi etc-ana familia
  3. Ukiona mtu anatembea kigoigoi mjini ujue "HANA ISHU"
  4. ............................................................
 
Ukiona mtu anapost ishu za sex asubuhi siku za wiki jua ni jobless.
 
ukimuona mtu ana comment utumbo kwenye ishu muhimu ujue huyo comment yake inalipiwa.
 
Je na ukiona mtu analeta mada zisizoelewa anakuwa nani?
 

Attachments

  • 1407738807983.jpg
    1407738807983.jpg
    7.1 KB · Views: 711
Ukiona mtu anakusifia eti "Ooh umenawiri...naona mambo yako sio mabaya......." Ujue anataka kukuchomoa Pesa!
 
ukiona mtu anakuomba hela ya kula halafu ukamwambie tuingie hoteli ule akakataa ujue hakua na shida hiyo
 
njia rahisi ya kumtambua ombaomba kipofu kwamba amejua umempa kiwango gani cha fedha ni kutokana na shukrani atakayotoa ...........(nadhani mmenipata)
 
Ukimuona mtu anakoga asubuhi ujue anataka kwenda mjini.
Nalog off
 
Ukiona mtu anakasirika kasirika bila sababu za maana ujue Maisha yameshamgonga huyo!!
 
Back
Top Bottom