Haya ndio Mapenzi ya Ukweli!

Haya ndio Mapenzi ya Ukweli!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,916
Reaction score
18,926
Haya ndiyo Mapenzi kama nilivyowaona wapenzi hawa wawili, baada ya kuongea nao Mwanaume alisema yeye ni Mwana CHADEMA na Mwananmke alisema yeye kwa kweli anaipenda sana CCM! Lakini tofauti zao ndio zinazokoleza mapenzi yao!

 
Kumbe ndivyo ilivyo,mie naangalia bunge la kwetu muda huu.
Nalog off
 
Back
Top Bottom