Kusoma kuelewa, kukesha mbwembwe, kuna malaria

Kusoma kuelewa, kukesha mbwembwe, kuna malaria

Future president

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
144
Reaction score
39
Utakuta mwanafunzi amejiwekea ratiba ya kusoma night ndefu inaweza kuanzia saa saba usiku mpaka asubuhi,matokeo div 3 au 4,kusoma kuelewa kukesha mbwembwe hakika mnajichosha na kupata malaria mfululizo na kusababisha kupoteza siku wakati wa kujiuguza
 
Kuna cku nlpga msuli ucku getto nkaona pazia inanyanyuka nkajua mchaw kuchek vzur mwizi mchiz alivaa mzula mwekundu al2mia spoku nkamuuliza vp? Ndugu kakimbia nlicheka sana,ila ucku kuna kuwa kume2lia inakuwa vzur sana kusoma ila neno lako lina ukwel co wote wanaokesha wanafaulu.
 
Tunapishana vichwa mie mpaka namaliza advance sikuwahi kukesha msuli wangu ulikuwa mwisho saa4,ila kuna machizi wangu wao walikuwa wanatoboa bt at the end of the day tokeo letu likawa sawa...NOTE "kama ubongo wako ni SLOWLOADING bora tu uwe unakesha otherwise utaambulia patupu
 
Mkuu mpaka namaliza six sikuwa muumini wa kukesha kabisa, but nilijiatihidi sana kupangilia ratiba yangu especially masaa 2 ya prepo.
 
Back
Top Bottom