Achoki
Senior Member
- Mar 27, 2013
- 151
- 60
Habari wana JF, napenda kuwaomba tukumbushane yaliyotupata wakati tunasoma katika daladala.
Naanza na ya kwangu, siku moja ilikuwa weekend basi nikapanda magari ya muhimbili sasa sikuwa na kitambulisho nikampa konda elfu moja kipindi hicho nauli ya mwanafunzi sh.50 na mtu mzima sh.250 basi akakata nauli ya mtu mzima.
Unajua nini kilifuata nikamwambia konda naomba hela yangu alipobisha tu! nilipofika kituoni Azania nikashuka nikaenda kuwashtua washkaji wa kundi fulani lilikuwa linaitwa KITENGO MAWE tukalisubiri gari lilipofika tukalisimamisha tukamchomoa konda tuka mdai pesa huku tukimpiga ila tulipelekwa polisi tukahojiwa kwa muda then tukaachiwa dah sisahau.