Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,084
Unadamka asubuhi ili uoge uwahi job lakini unakuta Kuna watu 2,3 mbele yako mmoja Yuki chooni tayari zaidi ya dk 15 hatoki, umebanwa na tumbo baya huna jinsi inabidi usubiri mmaenda kwa foleni yule anatoka anaingia mwingine na mwingine huyu bafuni Huyu chooni na kila mmoja akifika huko anajiachia tuu hajali muda wako.
Inakera mno
Inakera mno