Ungeanza kufunguka wewe bhana
Alikuwa ni mpangaji wa nyumbani na alikuwa kanizidi umri kama miaka 7 hivi huku akiwa ni mke wa mtu na tayari alikuwa ana watoto wa3.
Sifa yake kuu alikuwa hajuia kusema NO anapoombwa mzigo, na kumtokea ilikuwa ni katika mpango wa kuzungukwa na vijana wote wa pale na mi ndo nilipangwa kuzindua mkakati huo.
Sasa cku ya kwenda kumtokea, ilikuwa ni balaa maana nilikuwa natetemeka kwa woga, mume wake alikuwa safarin...nikamgongea mlango, alipofungu nikamwambia:-
Mama P..... mi nakupenda, nikaishia hapo, akacheka sana nikajua ohooo huyu kanidharau au vp, baada ya kicheko akasema asante, nilivyoambiwa hivyo ckujua niendelee vp sasa.
Akanirahisishia kwa kusema:- au unataka kuwa baba P..... nikakubali fasta, nae akacheka sana akaniambia haya basi nenda kalale, nikaondoka huku cjui kama amekubali au la.
Kesho yake mapema tu akaniambia utakuja chumbani saa 4 ucku, na kweli nikaenda nikapewa mzigo wa kikubwa kwa mara ya kwanza toka niumbwe, nikanogewa hadi nikawa na wivu mme wake akija.
Na nikachimba mkwara mzito sana kuhusu ule mpango wa kumzunguka vijana wote wa pale nyumbani, nikigundua nitawafanyia kitu mbaya. ndo ilikuwa hivyo