Mig33 members

Mig33 members

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Tukumbukane members wa mig33 kuanzia mwaka 2007, enzi hizo mtu ana kick room nzima anabaki ye na dem wake tuu, watoto wa kiarabu walikua na sifa... Hahaaa

Kama upo hapa em tupia username yako ya enzi hizo..

Nakumbuka kuna wana walikua wakiingia lazima waanze na A.A nasi tulikua tukiitia W.S

Hahaaa em tupien users zenu hapa wazee wa mig33, wazee wa PVT

Watu walikua wanatoka sana Dar anafuata dem Mombasa, Tanga...


Nawakumbuka kina:-
Fuad
Modest_87
Marty
Keypiper
Avrill
Hanipha
Cherry
Pretta
Snake_eyes
Snake_eyes
Sister chord
Tevez_animal
Ibra da hustler
Frapella
Boy-69 (shoga maarufu sana enzi hizo)
Stinerga
Kagame
Kibonge
Sport_spirit
Mk****_mtamu






I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Sema kule watu walikua na kauli chafu sana
 
hahaha aisee long time

meja
coal_flakes
crayloop
collboy_latif
carpon3
ki2pio
kashkaff
beberu1982
mcauzu
mytony007(shoga)
tinito
winterna
prety_prety(kutoka kenya msa)


wewe mojoki nakukumbuka sana, tulishawahi tukanana sana ulikuwa unamtetea demu fulani hivi wa dom, alikuwa demu wa meja id yake nimeisahau
 
Last edited by a moderator:
hahaha aisee long time

meja
coal_flakes
crayloop
collboy_latif
carpon3
ki2pio
kashkaff
beberu1982
mcauzu
mytony007(shoga)
tinito
winterna
prety_prety(kutoka kenya msa)


wewe mojoki nakukumbuka sana, tulishawahi tukanana sana ulikuwa unamtetea demu fulani hivi wa dom, alikuwa demu wa meja id yake nimeisahau

Hahaaaa yaan mimi natetea dem wa mtu, huyo atakua alikua demu wangu tuuuu😄😄😄😄


I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Last edited by a moderator:
Wa kwanza kutoka chini, sina hata la kusema
 
Hahaaaa yaan mimi natetea dem wa mtu, huyo atakua alikua demu wangu tuuuu

nimemkumbuka alikuwa anaitwa brown_chick , demu fulani wa dodom doh kila mtu alikuwa anamtaka, lakini mwenyewe akijisema ni demu wa meja
 
Aisee! Kwa kupitia huu mtandao nilifanya maasi mpaka basi,ila namshukuru Mungu nimepima na niko poa.
Nalog off
 
Kuna demu alikua anaitwa Hannifa mzuri kweli alinikataa kisa mimi mkristo
 
Duh!..data pasword siikumbuki tena..virusmarshall
 
Wenyewe wanaelewana wanatiririka tu loh!

duh! yani nimeigogle hiyo mig33 nimekumbana na boonge la safety warning...

yaonekana kuna kitu walikuwa wanafanya mtandaoni hasa hasa ngono..
 
Back
Top Bottom