Usiku naota nikifanya mapenzi hadi napiga kelele kwa sauti kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usiku naota nikifanya mapenzi hadi napiga kelele kwa sauti kubwa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by figganigga, Aug 7, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Yaani napewa majamboz hadi napiga makelele amabyo ni kero.
  Hili swala sijajua ni kwanini. Kila ikifika usiku wa manane naota nafanya ngono tena ngono zembe bila condom.
  nimejaribu kuwauliza marafiki zangu wananiambia eti ni jini mahaba. wengine eti nina mda mlefu sifanyi mapenzi so ntafute demu.
  Naomba unisaidie nifanyeje kuondokana na hili tatizo?
  wengine wanasema nitumie maji ya baraka wengine eti nile mdudu.
  Naomba mnisaidie niondokane na hili swala.
  asanteni sana.
  Mia
   
 2. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  napita tu mkuu tuonane jamii photos lol
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  nenda ufanyiwe maombi,nenda uombewe! ukiombewa tatizo lako ni dogoo. . .
   
 4. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Si lazima aende mbali, hata yeye mwenyewe kama ana imani anaweza ajiombea.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hakuna shida, hutaletewa mtoto usiyemtarajia wala VVU.

  Kamua baba acha woga.
   
 6. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Lusekelo. . .Kakobe. . . Gwajima. .. . .Lwakatare. . .. . waone hawa bana! ( If u are serious and you have faith prayers will

  relieve you)|
   
 7. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Epuka kuwaza mambo ya ngono kabla ya kulala maana mara nyingi watu huota vitu walivoviwaza au kuvifanya kabla ya kulala,mia.
   
 8. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mh, madame naona umependa signature ya figganigga, bas we weka . . elfu iwe signature yako!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Swali langu dogo tu!

  Kwanini usioe?


   
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  aseeeee!
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  Wasicha wa kuoa hawapatikani kabisa hapa dar. vipi arusha wapo? Mia
   
 12. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  jmos na j2 niliomba lakini jana nilisahau. kwani ni nini? au ni pepo mchafu shetani? mia
   
 13. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Haaahahhahha,

  My dia charminglady hii siginecha yake hua naitumia kumjibu post zake tu,mie yangu hiyo hapo chin,ila sio siri hua naipenda sana na kwa namna anavoimenteini lol!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  kwanza kakomment kwenye picha niliyo weka jukwaa la kikubwa. hapa nawatake wenye kunishauri kiutu uzima coz hii kitu inantisha. Mia
   
 15. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Naona wengi hapa wanaandika kimatani lakini sincerely you have a serious problem my dear.Mara nyingi ukiota unafanya mapenzi na kufikia hali unayofikia wewe jua umeoa au kuolewa na jini mahaba haya mambo yanafundishwa sana kwenye mahubiri ya Kikristu.Aesee mapepo ya namna ii huwa yanamfunga mtu kuoa au kuolewa we unaweza ukafkiri ni kawaida tu hutaki msichana kumbe ufahamu au utashi wako wa kuamua umefungwa na huyo jini mpenzio.Wachungaji (AASILIA) wanajua sana hii kitu.To say few unachotakiwa ni we mwenyewe kwanza kujua namna ya kuomba hasa kabla ya kulala and mid night hours mengineyo ukitaka maombi ya kuomban.PM on condition that uwe Mkristu
   
 16. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  njoo singida wapo kibao babaake! af wazuri wao na tabia zao. njiti
   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wahi kuwaona wataalamu! Uliza "sacatry unit" Huoni unaendelea kuharibu mimba nyingi ?
  Yawezekana katika kila v5 uvitupavyo hewani v3 vinge'create zygote ?
   
 18. m

  muluvigwa Senior Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 199
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  unajini mahaba mukubwa so tafuta ufumbuz fasta vinginevo itakuletea matatizo makubwa
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa wapi shostito, yaani umepotea mpaka basi! Good to see u again Cantalisia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  wewe nawe!! Duh!
   
Loading...