yani hakuna radio station inanikera kama hii iliopo karibu na bahari... umeijua?
si mbali na kwa alietupa uhuru!
yaani katika radio ambazo zinafanya biashara za kufundisha upuuzi kwa wanajamii...
Hivi let say una mpenzi wako ambae mko mikoa tofauti,afu ikatokea mkazinguana kidogo hali ambayo ikapelekea mkanuniana..je nikitaka kuanza kujipendekeza kumsemesha,nitaingia na gia gani wakuu?
Tazama ndoa za wa2 kutokana na maisha yalivyobadilika na watu kuchokana. Jamaa alikaa na cheti chake cha ndoa kwa masaa 4 akikitazama mara mkewe akamuuliza vp leo umekumbuka siku ya ndoa? Mume...
Habari zenyu binafsi.
Natumai weekend yenu ilikuwa poa sana. Leo nitawashushia heading ya Thread zilizobamba ndani ya mwezi wa August hapa MMU.
Unaweza kuziita majina kibao kama vile...
Ujage uje au utakuja uje-wandali; umeweka wapi fyato fyangu(-umeweka wapi viatu vyangu)wanyakyusa rafiki zangu hawa kiswahili baadhi yao kutofautisha 'l' na 'r' ni shida Uyole atakwambia Uyore...
Wadau na wakuu wa jamvi siku hizi kuna hulka ya kufanya mapenz kwa kutumia simu au sms yaan tunaita sexchat..unaweza fanya hivi kama mpnz wako upo mbal naye au kama jogoo akiwika alfajir na huna...
Habarini za wakati huu wana JF nawasalimu wakubwa kwa wadogo.
Mimi nina mpenzi ambae kiukweli natarajia aje kua mke wangu.
Kikabila baba yake ni mchaga wa Marangu na mama ni mpare, ila mpenzi...
Chukua mbolea panda mbegu ziote zizae binadamu ummiliki.
Usawa huu kuwa na hatimiliki ya mpenzi ni ndoto.
Suala kubwa sio kwamba watu hawapendi lakini vishawishi ni vingi mno.
Kumbuka anayeolewa...
Mwenzenu nataka kujua sifa za mwanamke mzuri. Wengine wanasema awe mweupe, na ndiomaana wanawake wengi siku hizi wanajibabua. Wengine wanasema aliyejazia makalio, tena inanoga kama kalio litakuwa...
Habari wana mmu, katika kuperuzi kwangu na kudadisi kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii nikakutana na hii picha yenye ujumbe hasa kwa sisi tunao sumbuliwa na wapenzi wetu,tafadhali naomba...
Ona maoni ya wenzio;
DEREVA: Trafiki wasiwepo barabarani,
WANAFUNZi: Somo la Hesabu lifutwe,
WAFANYA BIASHARA: TRA itaifishwe,
WANACHUO: Bodi ya mikopo imilikiwe na wazazi,
WAKAZI WA MBAGALA...
Habari wana MMU nadhani wote mko poa sana na mnaendelea kusukuma gurudumu hili ya maisha vema.
Leo nimeamua kuwajulisha wanaume wenzangu kuwa makini na wanawa kawa.Mchezo huu mchafu upo sana huko...
Habari za jioni waungwana!
Nadhani mmeanza vizuri mapumziko ya mwisho wa wiki. Jamani, mimi sitakuwa na mengi ila picha ifuatayo inasema yote! Hii kitu ni ya MMU na siyo JF photos ndo maana...
Thee way nakupenda wengine naona vikaragosi ,baby nikuambie kitu hawa wenzako siwataki humu,ni vishankupe ila wewe mmmmmh am dead all over mwah i love you tumboo
Mwanajamii mwenzetu Maarufu PRICE ana msongo wa mawazo na anahisi anaweza kufa kwa pressure muda wowote.
Anaomba mawasiliano yenu so mum-pm ili aweze kuwashirikisha mkasa mzima.
Asanteni.
jamani mwenzenu huu sijui ni ugonjwa ama nini,,, napenda sana kuona mwanaume ana manyoya iwe kifuani, mikononi au miguuni, uuuuh nikiona nahisi kudata, eti ma binti wenzangu kuna anaependa manyoya...
Jaman harufu ya mipira ile ni ngumu kutoka mikononi, nimetoka kugegeda mchepuko nahisi kabisa wife kanistukia coz kaanza kuninusa mikono kisha kanuna cjui kwa sababu hyo au cjui kwa sababu...