Naumwa manyoyaaaaaa!

Naumwa manyoyaaaaaa!

Eshy m.s

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
2,926
Reaction score
1,561
jamani mwenzenu huu sijui ni ugonjwa ama nini,,, napenda sana kuona mwanaume ana manyoya iwe kifuani, mikononi au miguuni, uuuuh nikiona nahisi kudata, eti ma binti wenzangu kuna anaependa manyoya au ni mimi tu ndo nina haya majanga????

I like manyoya uuuywiiiiiii, am going crazyyyyy
 
Tyta where are u?

04d06e94e85feff9e3b8b38a188483f0.jpg
 
Mie ninayo kila mahali! Nitafute ila uhakikishe marejesho hapati habari!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom