wepson
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 831
- 219
Habari wana MMU nadhani wote mko poa sana na mnaendelea kusukuma gurudumu hili ya maisha vema.
Leo nimeamua kuwajulisha wanaume wenzangu kuwa makini na wanawa kawa.Mchezo huu mchafu upo sana huko kenya nahofia unaweza kuzaa gaa sana hapa dar maana nilijionea mwenyewe nilipo kuwa kule mombasa kenya .Anakuja mdada anajiongelesha na kukuzoea ghafla anajifanya "anakuhag" Kumbe mkono mwingine anaingiza kwenye mfuko wako wa
nyuma nakuibia pesa na mzigo hupati mzee so huko kenya ni common sana mchezo huu