JE! HUYU KICHAA AMEPONA KWELI?TOA MAONI YAKO:-
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka...
Kuna mwanamke yuko hapa ni mbishi sijawahi ona. Anadai eti oo hawezi kutumia jina la UKOO WA MUME wake. Khaaaa, nikamwambia ajifunze kwa ma-first lady maana wao wanatumia majina ya waume zao yaani...
Wakati mwingine ni haraka tu ndo inawafanya waongee sivyo ndivyo, lakini matamshi yote wanayo kinywani, kama huyu eti anasema
"Nasimba simo chimba akija alumbukie".
Naombeni ushauri. Hawa warembo wamekuwa wajigonga sana kwangu na mimi nimekuwa kauzu zaidi ya dagaa.
Huwa tunapiga stori za hapa na pale. Ni watoto walio umbika kisawa sawa.
Nimesikia kwa mtu...
Alinikorofisha akomba msaada jf nikamshauri bila ya kujua ni yeye wala yeye asijue ni mimi akanitafuta tukakutana kwe kioski....unajua mambo yalikuaje....tulia kidogo story inakuja.....
Uambiwe uchague kimoja wapo na ukifanye kwa ufasaha hasa, chakwanza uende ukafanye fujo na kutukana katika kambi ya Jeshi, au upeleke nguruwe msikitini? kipi ni rahisi hapo?
AnyeonghaseyooooooooooOoooooooooooooooooooo!
Shosti wetu 41 yrs old Gabrielle Union alisema haya wakati wa divorce yake ya kwanza! "I spent so much time of my marriage upset, Things like he is...
Wanaume ambao hawaishi nyumbani kwa wazazi wao ndio wanaongoza kwa kugegeda wanawake bure, uchunguzi huu umefanyika kwa kipindi kirefu kidogo.
Wanaume ambao wanaishi kwa wazazi wao/ndugu zao/kwa...
Jamaa alikuwa anajaribu
kukwepa malipo baada
kufanyiwa operation ya
macho, kwa kusema ''bado sioni'' Doctor akamwambia
Nesi avue nguo mbele yake.
JAMAA. ''bado sioni'' Dr.
akamwambia nesi...
"Unasema unao uwezo wa kuifundisha time yetu ya mpira wa miguu,je umewahi kufundisha timu zipi?"
"Niliwahi kuwa kocha wa Argentina,Chelsea,Arsenal na Barcelona,lakini zote ni za Manzese"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.