Unamtaka mpenzi wa peke yako?

Unamtaka mpenzi wa peke yako?

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,317
Reaction score
1,485
Chukua mbolea panda mbegu ziote zizae binadamu ummiliki.

Usawa huu kuwa na hatimiliki ya mpenzi ni ndoto.
Suala kubwa sio kwamba watu hawapendi lakini vishawishi ni vingi mno.

Kumbuka anayeolewa au kuoa ni mtu sio feelings. Hamu iko leo na kesho pia, kama haupo na kuna sehemu ya kwenda kutolewa unadhani utasubiriwa wewe?

Acha bangi.

Utaendelea kubaki sana na maswali yako ya kibwege " baby una uhakika niko peke yangu?"

Unadhani utajibiwa nini? hapo si unamaanisha una hamu ya kudanganywa?

UWE MWENYEWE UMEKUWA MUNGU?
 
chukua mbolea panda mbegu ziote zizae binadamu ummiliki...
usawa huu kuwa na hatimiliki ya mpenzi ni ndoto..
suala kubwa sio kwamba watu hawapendi lakini vishawishi ni vingi mnoooo...
kumbuka anaeolewa au kuoa ni mtu sio feelings.. nye.ge zinatolewa leo kesho zimejaa.. kama haupo na kuna sehemu ya kwenda kutolewa unadhani utasubiriwa wewe??

acha bangi..
utaendelea kubaki sana na maswali yako ya kibwege " baby una uhakika niko peke yangu?"
mmmhh unadhani utajibiwa nn? hapo si unamaanisha una hamu ya kudanganywa?
UWE MWENYEWE UMEKUWA MUNGU? Pambaffff...

Ha ha ha haaa JF never boring, ukitaka JF ikuboe amini kuwa mtazamo wako ni "the mtazamo" Ila kama ni mtu wa perspectives unaenjoy sana. Mtazamo mmoja wapo ni huu. Ha ha ha haaa eti uwe peke yako wewe ni mungu. ha ha hah aaaa Mkuu unatisha. Ni chungu lakini ndoo dawa
 
kuna watu manafikiri kila mtu ni kama wao.kama we ni mchepukaji hy ni yako na sio kila mtu.kuna watu wanajieshimu na wanafata maadili.sio kila sehemu ya dunia hii ni sawa
 
Hamna lolote hapa mimi ntafuta wakusheya na spati iweje wapekee.
 
chukua mbolea panda mbegu ziote zizae binadamu ummiliki...
usawa huu kuwa na hatimiliki ya mpenzi ni ndoto..
suala kubwa sio kwamba watu hawapendi lakini vishawishi ni vingi mnoooo...
kumbuka anaeolewa au kuoa ni mtu sio feelings.. nye.ge zinatolewa leo kesho zimejaa.. kama haupo na kuna sehemu ya kwenda kutolewa unadhani utasubiriwa wewe??

acha bangi..
utaendelea kubaki sana na maswali yako ya kibwege " baby una uhakika niko peke yangu?"
mmmhh unadhani utajibiwa nn? hapo si unamaanisha una hamu ya kudanganywa?
UWE MWENYEWE UMEKUWA MUNGU? Pambaffff...

Sikubaliani na hilo
 
hii dunia sijui imebadili uelekeo? mbona mambo yanaenda kisengele nyuma..
 
kuna watu manafikiri kila mtu ni kama wao.kama we ni mchepukaji hy ni yako na sio kila mtu.kuna watu wanajieshimu na wanafata maadili.sio kila sehemu ya dunia hii ni sawa

safiri ukae mbali na familia miezi 6, labda upige pulli.. kama hupigi puli na hujachepuka basi wewe hanisi... na hata usipochepuka wewe mke au mume wako atachepuka..
 
Back
Top Bottom