Atakuwa na tabia zipi?

Atakuwa na tabia zipi?

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
678
Reaction score
308
Habarini za wakati huu wana JF nawasalimu wakubwa kwa wadogo.

Mimi nina mpenzi ambae kiukweli natarajia aje kua mke wangu.

Kikabila baba yake ni mchaga wa Marangu na mama ni mpare, ila mpenzi wangu amezaliwa Tanga na kukulia Tanga mpaka ujana wake maana wazazi wake walikutania huko Tanga.

Sasa swali linakuja:

Nasikia kuna tabia za kurithi, na je tabia za wamarangu ni zipi na za kipare ni zipi na je atarithi za baba au za mama?

Au atalisi zote kwa ujumla?

Au atarithi za kitanga maana ndo alikozaliwa na kukulia?

Shukrani kwa wale watakao nipa majibu ya maswali yangu.

kwani wewe umelisi zipi?

Kwakweli mimi sijioni kama nimerithi upande upi na sina hakika kama kweli kuna kurithi ndomana nikataka kuelimishwa juu ya hilo
 
sasa kumbe jibu unalo kwanini uanze kumuhofia mwenzio, na isitoshe umeshakuwa kwenye mahusiano nae that means umeshamjua, kwahiyo kama unataka kumjaji, basi mjaji kwa zile tabia zake unazoziona sio kuanza kutafuta hii kaitoa kwanini au atakuwa na ya nani
 
mi naona ata "lisi" zote za uchagani. upareni na za tanga..
 
Ata akirithi zote haina tatizo ila kikubwa ni kuzijua izo tabia ili kujua ntaishi nae kwa staili ipi

ngoja nikwambie kijana Adimu kunatabia nyingine huwezi kuziona, mpk ukishaish nae, af pia Tabia zinabadilika, na sio lazima arithi, we kaishi nae kwanza af ndo utajua how U can handle the situation...
 
Last edited by a moderator:

Thanks kwa ushauli
 
Last edited by a moderator:
sasa kumbe jibu unalo kwanini uanze kumuhofia mwenzio, na isitoshe umeshakuwa kwenye mahusiano nae that means umeshamjua, kwahiyo kama unataka kumjaji, basi mjaji kwa zile tabia zake unazoziona sio kuanza kutafuta hii kaitoa kwanini au atakuwa na ya nani

Kuna mifano mingi nimeiona, unakuta mtu anaficha makucha yake ili aonekane mwema na ukishaoa tu unajuta, ila simaanishi kwamba nitamuacha bali nikijua alivyo nijuaa namna ya kuishi nae
 
kwanza we kabila gani? pili huyo mpenzi wako umekuwa nae kwa mda gani mpaka ushindwe kuzijua tabia zake eidha za kurithi au za kukulia huko tanga?
jichunguze wewe kwanini haujiamin.....
 
Kiukweli penzi letu ni changa tu kama miezi minne na hatuna ukalibu sana wa kukutana maana tunazingatia sheria za kidini na kanibadilisha sana maana zamani nilikua sikubali kukaa mbali na mpenzi ila kaniweka kwenye mstari na tunazingatia dini kitu kinachosababisha nisimjue kiundani, kikabila mimi ni mjita kutokea Mara
 
Ok, ila mkuu kila mwanamke na mwanaume ana tabia zake ziwe mbaya au nzuri ni zake haijalishi kabila wala nini..... hivyo tukija katika ukabila sijaona kama ni main factor ya kuiangalia katika kumjua mtu kiundani.... kinachohitajika ni kutengeneza ukaribu kiasi bila kuharibu sheria zenu za dini... hapo utaweza kumjua kiasi...
 
Pamoja Little hulk
 
Back
Top Bottom