Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Mwenzenu nataka kujua sifa za mwanamke mzuri. Wengine wanasema awe mweupe, na ndiomaana wanawake wengi siku hizi wanajibabua. Wengine wanasema aliyejazia makalio, tena inanoga kama kalio litakuwa ndembendembe kama anavyopenda Mr Rocky na utafiti .
Wengine wanadai wenye figa za kimisi ndio haswaa ugonjwa wao kama mjomba kabanga Wapo wanaopenda sura bila kujali umbile na wengine wanasema uzuri wa mwanamke ni tabia. Hebu nifumbueni macho..ni zipi sifa za mwanamke mzuri?