Warembo 7 wananiwinda wanibake

Warembo 7 wananiwinda wanibake

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,961
Naombeni ushauri. Hawa warembo wamekuwa wajigonga sana kwangu na mimi nimekuwa kauzu zaidi ya dagaa.

Huwa tunapiga stori za hapa na pale. Ni watoto walio umbika kisawa sawa.

Nimesikia kwa mtu mmoja wakaribu sana na hao madu. Kasema wanampango kabambe wa kunivizia japo niwa romance.

Naombeni ushauri ikitokea hiyo nifanye nini?
 
ili kuzuia anza na mmoja mmoja. Divide and rule policy. As long as umesema wanakuvutia.
 
wonders never ends........!
nenda police, au nenda kawaselee kwa wazazi wao...1
umesikia mtoto mzur..........!
 
ili kuzuia anza na mmoja mmoja. Divide and rule policy. As long as umesema wanakuvutia.

Aise kwanza imekuwa suprise kwangu. Ngoja nijaribu. Wako poa lakini hawajafikia kiwango cha tbs yangu.

Ila masela wengi wana watolea udenda.
 
Naombeni ushauri. Hawa warembo wamekuwa wajigonga sana kwangu na mimi nimekuwa kauzu zaidi ya dagaa.

Huwa tunapiga stori za hapa na pale. Ni watoto walio umbika kisawa sawa.

Nimesikia kwa mtu mmoja wakaribu sana na hao madu. Kasema wanampango kabambe wa kunivizia japo niwa romance.

Naombeni ushauri ikitokea hiyo nifanye nini?

Wewe ke au me????
 
hivi akianza kukubaka kama haisimami atafanyaje
 
Hao ulioanza nao mwanzon (ulioanza nao kufanya mapenzi mwanzo kabisa) nan alikupa ushauri?
Maana yaonekana Jf ina umri mkubwa kuliko wewe na haukuja hapa kuomba ushauri!
 
Kwa huyo mtu wa karibu uliyesikia, amesema wanataka kukubaka wote kwa pamoja au mmoja mmoja kwa wakati wake?
 
Utaonekana sio rizki ww ila fanya hivi mwanmke mzuri sio umbo wala sura au tabia yupo mwenye dini hapo mlokole au ustadhat ndiye atakae faa km hawana vigezo hivo achana nao umeskia mtoto mzuliii

Alafu unaumri gani
 
Naombeni ushauri. Hawa warembo wamekuwa wajigonga sana kwangu na mimi nimekuwa kauzu zaidi ya dagaa.

Huwa tunapiga stori za hapa na pale. Ni watoto walio umbika kisawa sawa.

Nimesikia kwa mtu mmoja wakaribu sana na hao madu. Kasema wanampango kabambe wa kunivizia japo niwa romance.

Naombeni ushauri ikitokea hiyo nifanye nini?

Ukizaliwa masikini sio kosa lako, bali ukifa masikini ni kosa lako

Hasa umaskini wa mawazo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom