Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
Wanaume ambao hawaishi nyumbani kwa wazazi wao ndio wanaongoza kwa kugegeda wanawake bure, uchunguzi huu umefanyika kwa kipindi kirefu kidogo.
Wanaume ambao wanaishi kwa wazazi wao/ndugu zao/kwa rafiki zao hujikuta wakitumia gharama kubwa sana katika kufanya mapenzi kwani mwanaume huyo itampasa atafute venue ambayo atailipia, kabla ya kuingia kwenye venue kwa ajili ya mpambano hujikuta akitumia gharama ndogo ndogo kama za vinywaji na usafiri.
WENYE MAGHETO: Hawa ndugu zangu namimi huwa hawatumii hata sent tano, Akitoa sana hela atakulipia buku la bodaboda.
1. Kufika gheto kwake: Kama anakaa Sinza na wewe unaishi Msasani, basi atakwambia, panda daladala shuka sinza kijiweni kisha chukua bodaboda/bajaji mpaka kwa Mwarabu ukifika utanikuta nakungojea. Ukifika hapo kwa mwarabu unakuta mwanaume hajafika, kumbe kajichelewesha makusudi ili asilipe pesa.
2. Chakula: Unakuta alishapika chakula muda mrefu, kipo tu kinakungojea.
3. Kinywaji: Juice ilishasagwa kwenye Brenda kitambooo
Dada wa watu akija kushtuka tayari ameshagegedwa (Kwa watu wa management hiyo kitu tunaita Efficiency)
4. Kuondoka: Atakupeleka sehemu ya kupanda bajaji/bodaboda kisha anamlipa dereva buku au buku mbili au anaweza asilipe kabisa hapo ndio unakuwa umegegedwa kwa gharama zako mwenyewe.
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)