Kuna mwanamke yuko hapa ni mbishi sijawahi ona. Anadai eti oo hawezi kutumia jina la UKOO WA MUME wake. Khaaaa, nikamwambia ajifunze kwa ma-first lady maana wao wanatumia majina ya waume zao yaani marais. Hawa mabinti wa siku hizi taabu kweli kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.