lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,210
AnyeonghaseyooooooooooOoooooooooooooooooooo!
Shosti wetu 41 yrs old Gabrielle Union alisema haya wakati wa divorce yake ya kwanza! "I spent so much time of my marriage upset, Things like he is late should not define your day! You put so much on every little thing! YOU LOOK AT YOUR PARENTS LIKE THEY WERE INFALLIABLE AND PERFECT, YOU REALISE NOW THEY MADE A LOT OF MISTAKES AND THEY ARE JUST PEOPLE!" GIVE MEN IN YOUR LIFE SAME CONSIDERATIONS, THEY ARE JUST HUMANS!!!!!! Mimi na utuuzima wangu huu napenda kuchukua relationship advice kwa watu wazima wenzangu kunizidi! Japo muwe macho watu wazima wengine hovyoooo! Ila napenda sababu wamepitia vingi na wana uzoefu wa kashda hizoo!
Ndo maana mimi na Matola tumedumu sanaa! (Nawaona rohoni mnasema hio sanaa hizo siku 2! Hahaaaaa!) Kwa sababu we are 2 misfit people together! Mi najua yule binadamu, na mie binadamu. Hata wewe MM inakuhusuuuuu? Kwani mie malaika? Mtuache 2 misfit people together and happy! He is not perfect, i am not perfect! Dunia ya perfectionism were everybody is perfect, has to be, perfection is not a choice tumewaachia nyie! Specifically MM na Mumeo!
I AM OLNY RESPONSIBLE FOR WHAT I HAVE WRITTEN NOT WHAT YOU UNDERSTOOD FROM READING IT!
tumboo nakusalimia, unakaribishwa kupunguza nyongo mwilini!