mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
Siwaelewagi humu sema hua nacheka sana nikisoma comment za masihara but n kutokujiamini au ?????
mmmhhhh????
Siwaelewagi humu sema hua nacheka sana nikisoma comment za masihara but n kutokujiamini au ?????
Mbona hata sredi yako ni ya kimasikhara!!!
Mbona hata sredi yako ni ya kimasikhara!!!
Hapana imesimama sema hujaelewa ehee jitambulishe
Kama ww jitambulishe jina lako
Miye naitwa bi kidude.unaswali lingine?
Kama ww jitambulishe jina lako
Kidude cha wapi tena?
mimi babako....
Hapo kati ya bodaboda yako
We ni mtoto mdogo ukikua utajua. Pia usisahau hakuna ID fake hapa. kila mtu anakitu muhimu sana na ID yake. mfano muulize MSALANI ID yake ni fake usipoona ya @ Ifweero na Lizaboni leo leo.Siwaelewagi humu sema hua nacheka sana nikisoma comment za masihara but n kutokujiamini au ?????
Miye naitwa bi kidude.unaswali lingine?
bi kidude mambo
Miye naitwa bi kidude.unaswali lingine?
bi kidude mambo
We ni mtoto mdogo ukikua utajua. Pia usisahau hakuna ID fake hapa. kila mtu anakitu muhimu sana na ID yake. mfano muulize MSALANI ID yake ni fake usipoona ya @ Ifweero na Lizaboni leo leo.
mimi babako....